Tunanyonya nini Zanzibar? Kuna rasilimali gani za kugombania huko Zanzibar? Umeshafikiria vizuri au umeropoka tu? Ni kitu gani kipo Zanzibar ambacho hatuna hapa Bara?
We are doing you a favour and you are constantly making noises...!!! Ebo!!!
Barubaru,
..migogoro kati ya Waislamu na Wakristo inaletwa na watu wa nje huku Tanganyika.
..Waislamu na Wakristo wamechanganyikana mno huku Tanganyika, kiasi kwamba si rahisi kushindwa kumaliza tofauti zao kwa busara kama wanafamilia.
..pia siasa kali za Kikristo na Kiislamu ni mambo ambayo yameanza majuzi na ni ya kuletewa pia.
..Tanganyika kuna Wakristo wanaoa wake wawili, pia kuna Waislamu mafundi wakubwa wa kupika na kunywa pombe. Waislamu na Wakristo wamekuwa wakioleana kwa muda mrefu sana. Mwali akichezwa hakuna ubaguzi wa kidini. Vijana wekipelekwa jando hawatofautishwi Waislamu na Wakristo. Ndoa nyingi hufungwa kwa kufuata taratibu za kimila na baadaye ndiyo hupelekwa Msikitini au Kanisani etc etc
..eneo nililozaliwa na kukulia mimi siku zote tumeishi bila kubaguana ktk masuala ya dini. watu wanakumbuka dini zao wakati wa Ramadhani au Kwaresima hapo ndipo utaona tofauti za kiimani. vinginevyo haya masuala ya kubaguana kwa misingi ya kidini hayapo kabisa.
..narudia: hizi imani kalikali za kidini ni mambo yaliyoanza majuzi. Watanganyika tulizipokea hizi dini bila kubaguana au kuachana na mila za mababu zetu.
Balubalu Najua wewe Si Mpemba wala si Muunguja. Hivyo wewe si Mzanzibari (Inaweza ikawa Mzanzibara). Fanya home work vizuri halafu nieleze hicho kitakachowatenganisha Wapemba na Waunguja hii leo-watu ambao wamekuwa pamoja enzi na enzi. Balubalu acha kuropoka tu!!!!!!

Rasilmali ipo wewe hebu muulize Massa!
Pakacha, awali ya yote tuchanganye R na L (balubalu na barubaru).
Sijali natoka wapi bali najali naishi wapi na kupata dairy bread yangu.
Ahali yangu ninapochambua jambo siangalii kuwa natoka wapi. Hilo sio tatizo kwangu ila nia ni kufikisha maoni yangu kwa jamii.
Pili , nilitumia tu kifupi cha wapemba na waunguja nikiwa na maana kuna visiwa viwili yaani Pemba na Unguja. Kumbuka kuwa kila penye viwili lazima kuwe na uvutano. ( Mfano Simba na Yanga. Kila mpenzi wa soka huko Tanzania ni lazima awe mpenzi wa timu moja katika hizi ima Simba au Yanga kisha ndio atakuwa na timu nyingine let say Mtibwa, malindi, miembeni au hata African sports au coastal union.
sasa tukizama kwenye historia ya visiwa vyetu utaona kulikuwa na vyama hasimu viwili tokea enzi hizo na kila chama kilikuwa na ngome yake kwenye kisiwa kimoja. na hata hivi leo utaona the same kuna vyama vikuu viwili na kila chama kina dominate kisiwa kimoja.
Sasa pamoja na kuwa na tofauti ya kisiasa lakini watu hawa wanafungamanishwa na DINI moja yaani UISLAMU..
nakushauri usome vizuri sana Historia ya visiwa hivyo bila jazba na kwa nia ya kuelewa utaona hao niliyokudokolea kidogo.