Zanzibar wataka Elimu ya juu ishughulikiwe na Muungano

Zanzibar wataka Elimu ya juu ishughulikiwe na Muungano

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,422
Reaction score
7,350
Baadhi ya wajumbe wa baraza la katiba wilaya ya magharibi Zanzibar Wamependekeza suala la elimu ya juu liendelEe kuwa la muungano kwa maelezo kuwa Serikali ya mapinduzi ya zanzibar haina uwezo wa kusomesha hata wanafunzi 1000,
Source Mwananchi la tr 2,2013
Huu ni ubinafsi,wajitegemee tu
"Vox populi,vox dei"
 
Back
Top Bottom