zanzibar siyo dola! see authorityShirikisho la soka Afrika (CAF) limeivua uanachama Zanzibar miezi minne tu baada ya kupewa.
Rais wa CAF, Ahmad amesema kuwa Zanzibar, ambayo ni sehemu ya Tanzania haikutakiwa kukubaliwa kama mwanachama wa 55 wa shirikisho hilo.
"Walikubaliwa uanachama bila uchunguzi wa kina wa sheria ambazo zipo wazi kabisa," alisema Rais, Ahmad.
"CAF haiwezi kusajili Shirikisho mbili tofauti kutoka nchi moja."
FIFA walikataa kuisajili Zanzibar baada ya CAF, iliyokuwa chini ya rais mtangulizi wa Ahmad, Issa Hayatou, kuikubalia Zanzibar kuwa mwanachama wa CAF.
Hili ndo wanalolikwepa ni kweli kwamba tuna muungano wa ajabu na kipekee duniani, lakini kwanini Wales, England na Ireland ziruhusiwe nongwa uwe kwa Zanzibar.uonevu.
Mbona uingereza visiwa vyake vingi.vimepewa uanachama fifa na uefa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unafananisha usingizi na kifo kombaa.Hivi Tanzania na UK wapi na wapi?uonevu.
Mbona uingereza visiwa vyake vingi.vimepewa uanachama fifa na uefa.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo wawakilishi wa Tz kimataifa ni Time Moja toka bars, na moja Zanzibar. Hivyo basi Simba sc a.k.a Mbu*3 FC imekula kwenu maskini. Kweli wahenga walisema...Shirikisho la soka Afrika (CAF) limeivua uanachama Zanzibar miezi minne tu baada ya kupewa.