ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Serikali ya Zanzibar imekusanya takriban dola milioni 380 (sawa na takriban Shilingi trilioni moja) kwa kukodisha visiwa vidogo 16 kwa wawekezaji wa kigeni.
Zanzibar ina zaidi ya visiwa vidogo 50, ambapo vingi kati ya hivyo vinafaa kwa uwekezaji wa utalii.
Hadi sasa, serikali imekodisha visiwa takriban 20 katika maeneo ya Unguja na Pemba kwa ajili ya uwekezaji wa kibiashara.
Hata hivyo, licha ya mapato hayo makubwa, ni visiwa vitatu tu kati ya vilivyokodishwa ambavyo vimeendelezwa.
===
My Take
Rais Mwinyi & Samia ni watu wa biashara,hawataki mambo ya ajabu ajabu ya kulishana maneno ya propaganda na kuharibiana maisha yanayoshadidiwaga na watu wa Bara.