Mwislam by choice
JF-Expert Member
- Sep 23, 2017
- 361
- 471
Habari za kuamka wakuu
Kiufupi mm sio muandishi mzuri lakin kuna kitu nataka kuwasilisha baada ya kuishi huku Zanzibar.
Tokea nimehamishwa kikazi kutoka mkoa X kuhamia Zanzibar kuna mambo yananishangaza kuhusu wazanzibar na nchi yao!
1.Gharama za maisha
Kama mnavyo jua zanzibar ni mji wa kitalii sasa kila kitu huku kila kitu huku bei ya watalii kifupi maisha huku yapo juu sana hamna kuchagua kama Dar unaweza chagua uishi vp mbagala ama masaki.
2. Matumizi ya barabara
Hawa jamaa huku hawafuati sheria za barabara kabisa, unakuta njia mbili kwenda njia mbili kurudi mtu anajisikia uvivu kufuata U turn anaforce kupitia wrong side tena mbele ya watu wa uslama wa barabara
3. Ukarim wa wazanzibari
Kiujumla hawa jamaa wakarim saana bado wapo watu waaminifu saana, but wahuni wapo pia kuchukua tahadhari ni bora sana.
4. Mabint wa kizanzibar
Tabia za wanawake wa kizanzibar kiujumla mm binafsi sijazipenda kwanza wajuaji saana na wakiwa wanaongea sauti juu saana kwa mwanamke inakua sio poa ,
kiufupi nayamiss saana maisha ya bongo choices nyingi na aridhi pana