kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,696
- 2,159
Mambo mzanzibarimitano tena
Zamani ilikua wazanzibar weliowengi wakijinasibu wao ni wazanzibar, lkn siku za hivi karibuni, wao ndo wamekua mstari wa mbele kujinasibu wao ni wa Tanzania, jambo ambalo mwanzo hawakuona kama ni fahari kuitwa hivyo. Kuna nini?
Pouwa mtanzaniaMambo mzanzibari
utajisikiaje na haliPouwa mtanzania
Nzuri kbsutajisikiaje na hali
Zanzibar is just a city, hutakuta mahali inaitwa nchiZamani ilikua wazanzibar weliowengi wakijinasibu wao ni wazanzibar, lkn siku za hivi karibuni, wao ndo wamekua mstari wa mbele kujinasibu wao ni wa Tanzania, jambo ambalo mwanzo hawakuona kama ni fahari kuitwa hivyo. Kuna nini?