King_Villa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 575
- 380
Ni Makemikali yanaagizwa kutoka njeNimekaa najiuliza kuwa ni zao gani hutumika kutengeneza magodoro bila majibu....
Sasa najua humu kuna wajuzi wa kila aina watanijulisha tu. Na wengine ni wafanyakazi wa viwanda hivyo.
Ni hayo Tu.
[HASHTAG]#GET[/HASHTAG] WELL LISSU
Sent using Jamii Forums mobile app
jina la hayo makemikaliNi Makemikali yanaagizwa kutoka nje
We ya nini kwani kaka??Nimekaa najiuliza kuwa ni zao gani hutumika kutengeneza magodoro bila majibu....
Sasa najua humu kuna wajuzi wa kila aina watanijulisha tu. Na wengine ni wafanyakazi wa viwanda hivyo.
Ni hayo Tu.
[HASHTAG]#GET[/HASHTAG] WELL LISSU
Sent using Jamii Forums mobile app
Polymer inaitwa Polyurethanejina la hayo makemikali
Labda ugoogle. Nilienda DODOMA ASILI Nikakuta Mapipa ya kutosha tujina la hayo makemikali
hahaha new mwekezaji in town ameona fursaWe ya nini kwani kaka??
Kwenye Kilimo cha Magodoro, au??hahaha new mwekezaji in town ameona fursa
Umeshindwa kuingia hata GuGo?Nimekaa najiuliza kuwa ni zao gani hutumika kutengeneza magodoro bila majibu....
Sasa najua humu kuna wajuzi wa kila aina watanijulisha tu. Na wengine ni wafanyakazi wa viwanda hivyo.
Ni hayo Tu.
[HASHTAG]#GET[/HASHTAG] WELL LISSU
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha mbali Mkuu. Monomer, Dimer na Polymer.Polymer inaitwa Polyurethane
Leo sikua na mpango wa kucheka.liverpool tumefungwa.ila jf kiboko we jamaaUtomvu wa mnyaa unachanganywa na amira. Ndo maana panya wanayapenda wanadhani ni mabumunda
Utomvu wa mnyaa unachanganywa na amira. Ndo maana panya wanayapenda wanadhani ni mabumunda