Zao la cocoa

wizzyds

New Member
Joined
May 22, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Jamani wa ndugu habarini? Naomba kujuwa zao la cocoa kwamaana ya eka moja inapandwa miche mingapi inakuwa. Utavuna baada ya muda gani, mavuno yapoje kwa mti, na bei ipoje sokoni kwa kg.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbegu nzuri za kisasa zinatoa kg 1400 kwa hectare(eneo la upana wa mita 100 kwa mita mita 100)

Bei inacheza sana lakini huwa si chini ya shilingi elfu mbili kwa kg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…