Zao la Kakao Wilayani kyela mkoa wa Mbeya.

Limefanyaje? Cc. Mhariri, Paw.
Nilikuwa nimeelezea baadhi ya dodoso ya zao hili mkoani Mbeya jinsi baadhi ya wajasiriliamali wanavotengeneza kipato.Nikaona watu wamenijia juu nikataka nifute post yoye sema nimeshindwa ila nimeishia kufuta maneno yote.
 
Naomba urudishe content ya post yako ili usaidiwe, na sisi wengine tuweze kuchangia mada. Unaweza kukuta zao hilo ni fursa ya ujasiriamali. Rejesha post yako kwa ku edit hapo juu.
 
Nikipata muda nitajaribu.Kuna jamaa wa kwanza kupost hapo juu alinikata mini kabisa!
 
Kunauwezekanao hao ndio wanaopiga pesa peke yao wanaleta uchoyo na kukukatisha tamaa ili watimize lengo lao la kutoa Madini ya biashara hiyo tunakuomba ukipata muda iandike tena tunasubiri frusa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…