Ragnar Lothbrok
Member
- Apr 3, 2022
- 14
- 8
Bei sh 12,000 Kwa kg 1 eneo .. mkuyuni.. na matombo .. tawaNinaomba kupata taarifa juu la zao la karafuu kwa mkoa wa Morogoro, ni sehemu gani inapatikana na bei yake kwa Sasa.
Asante
Msimu wa mavuno unaanza lini?Bei sh 12,000 Kwa kg 1 eneo .. mkuyuni.. na matombo .. tawa
Msimu huwa ni mwezi wa 6 mpaka wa 9 bei huwa inapanda na kushuka kulingana na Soko ushuru ni ule wa Selikari kwenye mageti ya kilimo tu karibu Matombo, mkuyuni hakuna wakulima wa karafuu Karafuu inalimwa vijiji vifuatavyo; Mlono, Konde, Tawa, Kifindike, Kitungwa, Kibongwa ambavyo vyote hivi lango lake ni MatomboMsimu wa mavuno unaanza lini?
Nna je wakati wa msimu bei ni tofauti ama?
Vipi ushuru ni bei ngapi?
Quality Je? Wakulima hawaweki uchafu au vikonyo?
Hapo Matombo Nilipita December Nakwenda KisakiMsimu huwa ni mwezi wa 6 mpaka wa 9 bei huwa inapanda na kushuka kulingana na Soko ushuru ni ule wa Selikari kwenye mageti ya kilimo tu karibu Matombo, mkuyuni hakuna wakulima wa karafuu Karafuu inalimwa vijiji vifuatavyo; Mlono, Konde, Tawa, Kifindike, Kitungwa, Kibongwa ambavyo vyote hivi lango lake ni Matombo
Hapo Matombo Nilipita December Nakwenda Kisaki
Kufika Msalabani Maeneo Hayo Karafuu Inanukia Bus Lote
Huwa Wanaleta Town Wachuuzi Wadogo Wadogo
Umewahi kulima Karafuu? Uvunaji wake ni shughuli hasa, halafu unaposikia kilo 1 ni 12,000/= mpaka ifike hiyo kilo 1 sasa [emoji23]Kilimo chenye tija hiki