Nyanda lunduma
Senior Member
- Apr 10, 2015
- 187
- 68
Ni kweli sasa hivi ni segere napo ni adimuArusha karatu kwa sasa ni kuanzia 290k ila mavuno ni kuanzia mwezi wa tano mwishoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ikiwa gunia 290,000 gharama za upakiaji ushuru n. K sh ngapi? Na bei sokoni sh ngapi ftArusha karatu kwa sasa ni kuanzia 290k ila mavuno ni kuanzia mwezi wa tano mwishoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuArusha karatu kwa sasa ni kuanzia 290k ila mavuno ni kuanzia mwezi wa tano mwishoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo ni bei ya shambaniSasa ikiwa gunia 290,000 gharama za upakiaji ushuru n. K sh ngapi? Na bei sokoni sh ngapi ft
mama wawili
Segere ni 180k mkuuNi kweli sasa hivi ni segere napo ni adimu