Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Ha ha ha ha ha Zarina Hassan anapata tabu sana ,sidhani hata hiyo a.k.a ya Zari The Bosslady kama anaitendea haki.
Hivi kweli mtu kama Bosslady unaweza ukavaa kiatu cha elfu 10????? Balenciaga zile OG kabisa zinauzwa kuanzia elfu 70 na kuendelea ingawa siku hizi zimeshuka bei mpaka elfu 50 unapata, lakini Zari kavuka mpaka kaamua kuvaa Balenciaga ya 10K [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ama kweli kufulia nako ni K.
Kwa ambao wameshawahi kuvaa Balenciaga watakubaliana na mimi kwamba Balenciaga za Zari ni feki.