Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Humjui Dudu baya???????Namuona yuko na Dudu Baya hapo. Konky Master ndio anakula mzigo siku hizi?
Humjui Dudu baya???????
Umezaliwa mwaka gani mkuu?
Hilo suala tumeshalijadili kwenye ule uzi wa Evelyn Salt.Hahaa wewe jamaa upewe tuzo ya umbea " mpaka time hii una post
Ndio maana basi.Mwaka jana.
Sawa, kakojoe ukalale.Sawa ndio hili ni jukwaa la celebrities na sitegemei kukuta bei ya debe la mpunga .....vilevile ndio kila mtu ana maisha yake na bando lake hapangiwi jinsi ya kulitumia ....ila kwa "a penile human being" this is too much
We umezaliwa mwaka gani?
Sawa ndio hili ni jukwaa la celebrities na sitegemei kukuta bei ya debe la mpunga .....vilevile ndio kila mtu ana maisha yake na bando lake hapangiwi jinsi ya kulitumia ....ila kwa "a penile human being" this is too much
Kama hii ni kazi inayomuingizia kipato basi achape kazi ila kama ni hobby tu au mapenzi binafsi hapo anayumba.....ila inaonekana analipwaUsishangae jamaa ana mke na watoto.
Usikute huyu mwandishi nae anaitwa baba hahaha
Analipwa nanani Huyu?, hahahaKama hii ni kazi inayomuingizia kipato basi achape kazi ila kama ni hobby tu au mapenzi binafsi hapo anayumba.....ila inaonekana analipwa
Post zake zinatia kinyaa!Huyu ndio kama babaako ni hasara tupu. Afadhali hata uzaliwe na Le Mutuz