Faiza Ali ,Alihojiwa na mtangazaji mmoja akaambiwa ajiheshimu akadhan ni utani.Alidiriki kusema yupo tayari kupiga pic za utupu akipata deal nono .Hata hivyo akakiri kumuogopa Magufuli.Sasa naomba achunguze deal za matangazo kuna watu wahuni wasiojiheshimu kama yeye? Utakuta watu tu wanaojielewa .Hayo matangazo yanahitaji Role model na sio Destructive model kwani yanakuja katika jamii ya watu wenye kujielewa.