Zari akihakikisha mali yake ipo salama

hivi huyo mwana mwenye nywere za njano ni nani? ana mishe gani hapa town? samahan lkn maana huwa namuona sana hata kwenye video nyingi

Anaitwa Romy Jons aka DJ RJ. Ndiye official DJ wa Diamond, popote anapofanya shoo Diamond kwenye mashine atasimama RJ. Ukiacha mahusiano ya kazi, RJ ni ndugu wa damu na Diamond, wamekua pamoja, wameishi pamoja. RJ ni mtoto wa mama mkubwa na Diamond ni mtoto wa mama mdogo.









Msikilize hapa
[video=youtube_share;0HN-tHXdO-4]http://youtu.be/0HN-tHXdO-4[/video]
 
I can read her mind."This weapon of mass destruction sure can do harm":eyebrows:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…