Zari all white party! Nashindwa ku-access na nimeshalipia dollar 3

Ndugu usijifanye wewe ndo unajua kusoma saaana kuliko watu wote.
Umejuaje kama siku-log out au unataka kuonekana na wewe umekomment leo pyuu!!

Yaani Setup |delivering your strategy kachemka sana kuzuia watu kurudi baada ya kulog out....wa internatuional alisahaukuondoa demo hivyo watu hawajaangalia... sijui y party kubwa mtu anapewa kazi anachemka hivi inasikitisha wengi kesho utakuta wanalalamika sina wateja, nimerogwa kumbe wanajiroga wenyewe na huku wanajua jina la kampuni lipo kwenye partyt page na tunaisoma.

wa nje wengine sie tulio likizo tumetumiwa kodi za mpesa, tigo etc tukaangalia kama kawa...was cheaper pia.
 
Ntumie mimi hyo ela njarbu huku kama itakubali naona intrnt iko fst kdgo leo hlfu ntkwmbia
 
Okay gotcha! !so hiyo demo ndo itabaki till when??

setuptz.com/ waliorusha website hiyo ndio kachemsha

hadi kanyima watu ku login tena baada ya kulogout...na walioshindwa kubonyeza wanavyotakiwa baada ya kuingiza code na kutoka hawakuweza iliishia inasema inatumika...

ila code za mobile TZ zinatumika ukiwa popote duniani.

demo sijui maana party inaisha leo...labda wataiacha kwa ajili ya event zinazokuja in the future
 
Ndugu usijifanye wewe ndo unajua kusoma saaana kuliko watu wote.
Umejuaje kama siku-log out au unataka kuonekana na wewe umekomment leo pyuu!!
Hasira hizo ungekua karibu ungekua ushamfanya kama man pac atakavyomfanya gaywheather
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…