Zari amfanyia Tiffa birthday party bila mtanzania yeyote, si baba wala bibi

Mtoto ni wake. Labda baba yake alikuwa bzy na kazi. Hao wengine hawana umuhimu kuwepo. Very simple.

Hataki FIGISU FIGISU za oooh mtoto kashindwa kutembea wala nini. Sijui mambo ya kubemenda.
 
Hata bibi mzaa mama hakuwepo,Hiyo waliita pre besidei lunchi... Unataka nini tenamuhimu walisherekea na kaka zake na pia jamaa na marafiki wa huko....Zari akili kubwaaaa hata mimi ningefanya na kakaz waenjoy...pia leo alizaliwa mwanae mwingine..hivyo tarehe 6 Tiffah na 7 Pintow... Yupo nao wote kusherekea... subirini party yenyewe kwa Baba ake Tanzania
 
Dai amesema next week wakutane Dar kwa Aunts na uncles. So nahisi party kubwa itakuwepo Darrrr. #SHILAWADU# wajiandae
Waswahili tuna tabu sana huyo mama mtoto alisha eleza kuwa hiyo ni PRE-BIRTHDAY PARTY aliyo fanya kwa ajili ya rafiki na jamaa zake waliopo kule pamoja na wanawe wakiume (kaka zake Tiffa) na baada ya hapo Birthday rasmi itakuja fanyika huku, Loh! tayari Orchestre Chakubimbiz imesha litengenzea CD na je ikifanyika huku sijui watabadili wimbo kuwa kaka zake Tiffa wamesusa kuja.
 
Hii ni pre- na yuko Uganda si atakuja tutaona kama ataalika au laa
Tatizo wabongo walianza kumtisha mara cjui mama ubaya atakwepo mara mobeto cjui nini akaona ajifanyie zake huko mbarara
 
Tatizo wabongo walianza kumtisha mara cjui mama ubaya atakwepo mara mobeto cjui nini akaona ajifanyie zake huko mbarara
Alikuja kwenye party ile ya mwanzo, Mabeto sijui Mobeto akawa MC na amevaa sare na wifi, mama mkwe kauchuna, mganda wa watu akaona isiwe shida.
 
Umeshaambiwa ni PRE-PARTY
Au ulitaka wapande ndege waende south kwenye pre party???

PARTY NEXT WEEK
 
sky huu ubuyu wa lini???[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
mbona baba yake alikuwapo kwani we baba yake tiffah humjui.!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…