Zari amfanyia Tiffa birthday party bila mtanzania yeyote, si baba wala bibi

We ulieleta huu uzi ni mmbea sana wakishasema next wk huelewi
 
Tena na Shigongo & Co wataibeba hii kesho na kuiandika kwenye vijarida vyao Mark my word!! Hiyo heading juu itakuwa same.
 
Sasa hiyo itakua birthaday tena au sherehe tu isio na jina
 
Sasa hiyo itakua birthaday tena au sherehe tu isio na jina
Kama una elewa maana ya PRE kuwa ni 'kabla' iwe ni ya jambo,muda au siku ungefahamu kuwa ile ilikuwa ni sherehe ya utangulizi tu kabla ya sherehe yenyewe,hivyo muungwana siku yenyewe ya Birthday bado haija fika,hayo ni mambo ya watu wenye fedha zao bado ni mageni kwetu.tuna jua pre-form four studies tu.
 
wabongo waende kwani wamechangia hata shs 10? mambo mengine bwana
 
Haaaa SHILAWADU u always get issues to rise! sasakama aliandaa keki tu ya kula tiffa na watoto wenzie?
 
Msinichanganye hapa. Itakuwaje PRE-BIRTHDAY wakati siku aliyozaliwa ndio walisherehekea? Kwani 'PRE' si ina maana 'kabla ya'?
Labda mseme itakuwa POST-BIRTHDAY maanake siku ya kuzaliwa ishapita. Ukweli ni kwamba birthday ya Tiffah, ilifanyika bila familia ya babake! FULLSTOP.
Msinichanganye.
 
Mama anampenda mabeto wakati Dai anazalisha kwa Zari tuu? Ndiyo tatizo la mama zetu sometimes sijui huwa wanapewa nini.
 
Birthday ya mtoto watu wazima mnafuta nini? au kuringishia sare za vijora?
 
Mkuu birthday ya kwanza ya mtoto wa kwanza.
Mtoto wa kwanza? Bado nina dukuduku na uhalali wa DNA test ya Tiffah. How come ilifanyiwa South Africa?
Wote tunajua mamake ana influence huko na as many would say, money speaks, huenda hata matokeo yalikuwa tempered with hili Mond asingiziwe ubaba. Now this, do u think it's a coincidence? I smell a rat in all this!
Sad news are even her properties in Uganda has been auctioned!
 
Mtoto ana features za Di though, na hata kama DNA ikiproove wrong, mtoto na baba wameshajenga bond.
 
Mtoto ana features za Di though, na hata kama DNA ikiproove wrong, mtoto na baba wameshajenga bond.
Features? Bond? We all know that mwanamke mjamzito akikuchukia ama akupende anaweza kuzaa mtoto anaekufanana hata kama sio mzazi wake! Bt my million dollar quiz is kama ana hizo features, mbona Mond akakubali DNA test? There's no smoke without fire Sky Eclat
 
Is that the reason Bi Sandra doesn't buy the crap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…