Zari ampime Diamond magonjwa kabla hajarudiana nae

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Ndio, ndo ukweli. Wameachana miezi mitano na katika kipindi hicho huwezi jua kama diamond alikuwa anatumia kinga au lah, kwanza nashangaa kwanini masuperstaa wanapiga gemu mara kwa mara tena bila kinga halafu hawapati magonjwa ya zinaa , ila sisi raia ndo tunaugua. Au ngoma kwa mastaa haipo.

Nakushauri Zari hakikisha Diamond anapima damu kubwa ndo urudiane nae
 
Were yakuuma nn
 
Unajuaje kama hawapati
 
Yee mwenyewe mzinifu mkubwa tu mwenye hadhi ya uzinzi wa kidunia, sijui wazazi wake wanajisikiaje kuwa na mtoto kama zari, waache tu waendelee kumkosea aliyewaumba
 
Kupata mapenzi usishindane na mwanaume anaeelewa- tumia kwa faida yako. utakuwa na mafanikio kwa njia ambayo utapata mpenzi wa ndoto yako.
 
Zari yumo humu?
Kwa nini usiende kwenye page yake insta kumshauri?
 
hy maandaz maandaz ulienae ulishawahi kumpima ?
 
Jana tu D kasuuza rungu kwa Zari...ushauri wako hauna maana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…