Ndio, ndo ukweli. Wameachana miezi mitano na katika kipindi hicho huwezi jua kama diamond alikuwa anatumia kinga au lah, kwanza nashangaa kwanini masuperstaa wanapiga gemu mara kwa mara tena bila kinga halafu hawapati magonjwa ya zinaa , ila sisi raia ndo tunaugua. Au ngoma kwa mastaa haipo.
Nakushauri Zari hakikisha Diamond anapima damu kubwa ndo urudiane nae