Wana mchanga nyiko hawa ee?Kila mama ni mzuri kwa mwanae.
Ila hapa naona kuna kitu mmhhhh.
Ila mama Zari mzuri.
TushakujaaMmmh ngoja waje
Kwanini akumkataa alivyoletwa kwake mara ya kwanza? kwanini alifurahi alivyomletea mjukuu? Vtu vingne shirikisha akili yako.Exactly, hilo ni dongo limetupwa gizani upande wa pili. Hii movie mwisho wake mtamu. Yote kwa yote hakuna mama yeyote duniani anaefurahia mtoto wake wa kiume mdogo akaenda kuoa jimama lenye watoto watatu, na kumfurahia ni mkwe.Wa mama wengi hufurahia kijana wake akifungua chungu kikiwa kipya yeye akiwa ndo alifu atii.Napita tu.
Inavyoonekana.Wana mchanga nyiko hawa ee?
Em nipashe nini kinaendelea huko? hahahaha lolWarumi habar ya mjini for now ni bifu la king of all social media na Mange.. Mengine haya ni ma gossip ambayo ni kama ya kutunga tunga hivi.. Yamejificha ficha not open to the audience
Usisahau na mama wa Tandale ana watoto wa mababa tofauti tofauti so mule mule wanaendanaExactly, hilo ni dongo limetupwa gizani upande wa pili. Hii movie mwisho wake mtamu. Yote kwa yote hakuna mama yeyote duniani anaefurahia mtoto wake wa kiume mdogo akaenda kuoa jimama lenye watoto watatu, na kumfurahia ni mkwe.Wa mama wengi hufurahia kijana wake akifungua chungu kikiwa kipya yeye akiwa ndo alifu atii.Napita tu.
Mmh yanayoendelea huko sio ya kusimulia ni aibu.. Hadi magazeti ya gossip yameshindwa kuandika hizo habari.. Ni zina matusi yasio andikika hatarEm nipashe nini kinaendelea huko? hahahaha lol
Nisipitwe na umbea Bro.
Haya Bro haina neno kabisa.Mmh yanayoendelea huko sio ya kusimulia ni aibu.. Hadi magazeti ya gossip yameshindwa kuandika hizo habari.. Ni zina matusi yasio andikika hatar
Kuku wa kienyeji ni wa kienyeji tu....hata ukimbadilisha mazingira ukamfugia masaki...bado atabaki kuwa wa kienyeji tu.....Mama zari anaonyesha si mtu wa makuu kbs ila mama wa tandale ni shida anaweza kukusema hadi ukafa