Ndio ni dangulo, maana guest/Lodge/hotel zina heshima yake.
Out of topic: hivi kuna mwanaume anaweza kudondosha chozi kwa sababu ya mwanamke?? If yes; may be kuna siku Ivan marehemu Wenda alitoa chozi kwa sababu ya zari kumsarit? .... Who knows? May be yes.
Lakini kwa upande mwingine Wenda nae Ivan aliwahi kumtenda zari. Kwa ili staki kulisemea.
Dhambi ya usalti haisameheki, petro alivyomsalti yesu alijinyonga. na kila chozi linalotoka kwa ajiri ya MTU lazima mungu alipeee. Dia zari hiii ndo adhabu yako sio kwamba nakuchukia.may be na wewe ulishalizwa ulikuwa unataka pumziko la moyo.
Chozi la MTU halidondoki bureeee najua Wenda zari upo humu jf au vibaraka wako wapi humu na wanasoma hapa,
Kwa MTU yeyote ambae alishawahi kutendwa na wewe zari tafuta bonge la movie ya kikorea inaitwa ;
GLASS MASK. Itajibu maswali yote yanayosumbua moyo wako.
Jioni njema Niko episode ya 94 nikifika tu home jion najipumzisha na hii series. mejifunza mengi sana kwa wenye moyo kama wangu huwezi kuona hii movie ukamsarit MTU. Lakini pia hata kabla ya kuiona sijawahi kumsalti MTU.