Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Zile tetesi za muda mrefu kuhusu mwanamuziki Diamond Platnums pamoja model maarufu nchini, Hamisa mobeto aka Salome kuvunja amri ya sita huenda zikazaa matunda soon baada ya hivi karibuni mzazi mwenzie ,ambaye pia ni mpenzi wake wa sasa, Zari Hassan ambapo kupitia page yake ya snapchat amepost picha za hereni huku zikiwa zimeambata na ujumbe mzito, ambapo alimtaka mwenye hereni hizo cheap alizozisahau chumbani kwake akazichukue mara moja.

Hata hivo kwa mujibu wa wapenda umbea mjini aka team chambua kama karanga waliweza kuzichambua hereni hizo vizuri na kubaini kuwa zilishawahi kuvaliwa na mwanamitindo maarufu nchini Hamisa Mobetto(pichani) aka SALOME.

Huenda hii ikawa habari Kali kwa wiki hii, hata hivyo bado Zari hajafunguka chochote kuhusu mmliki wa hereni hizo, wala Hamisa bado hajazungumzia chochote kama ni kweli uchafu huo (kama alivyoita Zari) ni wake au sio

Zari hivi yule mama anajiheshimu au kujielewa hata maana ya stara!

Uzee ule watoto wanne na mimba juu bado anatafuta cheap popularity.....

Asante Mungu kunifanya nijitambue japo sio msafi na mkamilifu!!!
 
Aaah
We unajitambua, uko njema

Kumbe ile taarifa ya jana ulikuwa sahihi! Asee nimekuaminia
 
Aaah
We unajitambua, uko njema

Kumbe ile taarifa ya hana ulikuwa sahihi! Asee nimekuaminia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

taarifa gani wewwww!!!dogo!!![emoji119] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

taarifa gani wewwww!!!dogo!!![emoji119] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kuna taarifa jana uliitoa kuhusu hamisa
Naona kama ulikuwa sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…