Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Jamani Sara wa bible alizaa na miaka karibia mia tena kwa dunia hii ya technology it is simple.Jana hukuona BBC Bibi wa miaka 62 kazaa[emoji23] kama hukuona nenda ka Google
Yeye alimtolea mfano at marekani na huku kwetu wapi na wapi.Kim mzungu wenzetu not a big deal!!
We are Africans na huyo latifa mswahili....
Subiri time will tell!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwenye nyumba kobee!!Jamani mwambien shoga ake ake akachukue uchafu wake madale, mama mwenye nyumba kashasema hvyoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka 62 bado unapumuliwa si unaewza kufa! Huyo atakuwa ametumia fertility medication akafanyiwa Intra Vitro fertilization (IVF) siyo kwa kukushupaliwa.Jana hukuona BBC Bibi wa miaka 62 kazaa[emoji23] kama hukuona nenda ka Google
Waambiee hao[emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]Tunawapa siku tatu mkachukue uchafu wenu, kama hamtaki tuwawaletea na vigodoro juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka 62 bado unapumuliwa si unaewza kufa! Huyo atakuwa ametumia fertility medication akafanyiwa Intra Vitro fertilization (IVF) siyo kwa kukushupaliwa.
Tangu lini mama akarithi Mali za mwanae???kwani chibu hana mtoto??Mali za tiffa,zari ni mke wa dai mana wameishi kiunyumba kwa zaidi ya miez 6[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwenye nyumba kobee!!
Nyumba ya diamond na mamake ile!
Zari hata uchumba hana yy mashine tu la kutotolea watoto!
Katoa kwa Ivan kamaliza kaja kwa mondi akitoka hapo anaenda Kenya kwa Prezooo au jagwaaa!!
Zari ndo kashasema sasa, umesikia diamond au mama ake wakibisha?? Chezeya mama mwenye nyumba weyeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwenye nyumba kobee!!
Nyumba ya diamond na mamake ile!
Zari hata uchumba hana yy mashine tu la kutotolea watoto!
Katoa kwa Ivan kamaliza kaja kwa mondi akitoka hapo anaenda Kenya kwa Prezooo au jagwaaa!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umefuliaaaa!!!Shoga enu jaman kamchukulieni hereni zake madale, kashapewa kifi** domo hamtaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tangu lini mama akarithi Mali za mwanae???kwani chibu hana mtoto??Mali za tiffa,zari ni mke wa dai mana wameishi kiunyumba kwa zaidi ya miez 6
Jeuri ya vigodoro hamnaaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunawapa siku tatu mkachukue uchafu wenu, kama hamtaki tuwawaletea na vigodoro juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie wanaume tukipiga umbeya mwaanza maneno oooh hatupendani chahhhhh nothing new under the sun jamani. Its just a matter of ubuyu
Incubator ya EAST AFRICA....!!Tunawapa siku tatu mkachukue uchafu wenu, kama hamtaki tuwawaletea na vigodoro juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka atokee sasa shoo,adi mda huu mondi hajamtangaza ,bdo zari ni mke a.k.a mama madale upooooo[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata mkiishi miaka akitokea wakuolewa we ni hawara tu... Huna nguvu yoyote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] povu vipi!!Mwambie huyooo kahaba mchafu, kamshinda Lulu zari atamuwezea wap, alikua anataka kuonekana kwenye video muache, kashapewa kitmb** akafie manzese
Sasa mwenzenu ata akiachika Leo bado child support ataipata kwa sana tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],chezeya zari weye, beauty with brain, unaambiwa demu mkali halafu Ana akili, mwachen zari wa watu aji enjoy na madale yake wakat tukimsubir baba mwenye nyumba mdogo kutoka kwa zari, pyeeeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata mkiishi miaka akitokea wakuolewa we ni hawara tu... Huna nguvu yoyote