Best umeona kinachoendelea another drama Ivan na Zari!Ila Wema kwa kujipendekeza hadi anatia aibuu...hivi umeona ile clip anayoimba SALOME, mpaka domo anatiliaje huku ni kupatwa kwa?;!!!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] yani aibuu aibuu....
Mwee anajiita hivohivo Milly insta?Best umeona kinachoendelea another drama Ivan na Zari!
Nenda kwa Milly
tzshaderoom!!Mwee anajiita hivohivo Milly insta?
kwa hiyo mkuu unamaanisha mondi kamla mavokali mpaka akaacha heleni zakeSEMA UKIZIANGALIA VIZURI NI KAMA ZA MAVOKO VILE
Shost nimeona si kwa mbibi Zari kumbembeleza Ivan asitimuliwe, jamani si wanasemaga Zari ni tajiri?Best umeona kinachoendelea another drama Ivan na Zari!
Nenda kwa Milly
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alikamatwa kumbeeeShost nimeona si kwa mbibi Zari kumbembeleza Ivan asitimuliwe, jamani si wanasemaga Zari ni tajiri?
Ila Domo ni liswahili sijapata ona!
Ivan nasikia cku hizi hana mavumba toka akamatwe kwa utapeli wa kujifanya sangoma![emoji15] [emoji15] [emoji15]
Tuleteeni na wenzenu huko IG hata njia hatuzijui lkn ndo hivy umbea tunautaka tuongeze cku..!Best umeona kinachoendelea another drama Ivan na Zari!
Nenda kwa Milly
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja mtaletewaTuleteeni na wenzenu huko IG hata njia hatuzijui lkn ndo hivy umbea tunautaka tuongeze cku..!
Mi pia nasubiria.Tuleteeni na wenzenu huko IG hata njia hatuzijui lkn ndo hivy umbea tunautaka tuongeze cku..!
Tuleteeni na wenzenu huko IG hata njia hatuzijui lkn ndo hivy umbea tunautaka tuongeze cku..!
Ngoja niwaletee SMS za zari na ivan[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja mtaletewa
Huyo mill hua ana maana gani kusema roommatetzshaderoom!!
nenda kwanza ukaone drama za Mrs madale
Wanachumba wenziwe(akimaanisha sie washea nae udaku)kwenye page yake!Huyo mill hua ana maana gani kusema roommate
that's my girl wit!Ngoja niwaletee SMS za zari na ivan
Hujui maana ya roommate?Huyo mill hua ana maana gani kusema roommate
Najua ,roommate si yule unaeishi naeHujui maana ya roommate?
Ndo madhara ya umbea hayo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nipe ubuyu basi...au leo huna?Najua ,roommate si yule unaeishi nae
Sema yeye anapenda kulitumia mno mpaka najiuliza labda ana maana nyingine
We mwenyewe unapendw umbea balaa