Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

mbona mama diamond kazaa watoto wake katulia yeye kuzaa na mond ndo anataka kumbeba mzimamzima mtoto wa watu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ntakugaya ujue,heheehhe eti kakinuka utoko,ushawahi kuuona utoko!?
Utoko wa nani? Kale ka kinuka mkojo?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hebu mtafute shosti wako Fisadi umpe ubuyu bana....au leo huna ubuyu?
 
Hawa jamaa nilishawashtukia kitambo na watawakamata wabongo imagine wengi uwezo wao wa kufikiri ni chini ya asilimia moja,kwa hizi story za akina Diamond wataokotwa sana!Chambua jingaz kama karanga,wenye akili walishastuka
 
Utoko wa nani? Kale ka kinuka mkojo?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hebu mtafute shosti wako Fisadi umpe ubuyu bana....au leo huna ubuyu?
Ahahahahahah nasikia ulikatoomb,,,a wewee
Fisadi simuoni bana
 
I'll never fight over a man especially mwanaume asiyeniheshimu. Mwenye tatizo hapo ni Dai na Sio hao wanawake wengine. Kama hawezi kujiheshimu na kujichunga dhidi ya wanawake, wewe ndo utamchunga?. Afu anajidhalilisha tu mwenyewe mwisho wa siku, na kuthibitisha tu kuwa bwana ake ni kitombi eishhhh
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…