Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

Jamani msimlaumu dai anakula ujana eboo zari yeye karuka kuliko dai aruke stage aje kufanyia uzeeni siitakua kituko. Huyo dai anahofia tu watoto ila hayuko comfortable
 
Wameachana kina angelina jolie na brad.kwa diamond ukija ikitokea sitoshangaa.ila lisemwalo lipo na mbona zari ile video hajaiweka? Mwisho watu watahisi kwa kuwa yupo hamisa.
 
Jamani msimlaumu dai anakula ujana eboo zari yeye karuka kuliko dai aruke stage aje kufanyia uzeeni siitakua kituko. Huyo dai anahofia tu watoto ila hayuko comfortable
Nilimaanisha zari anahangaika na kina hamisa, wakati dai ndo anawafuata yeye mwenyewe, akitaka a-deal na Dai. Ila mwanaume atakutreat, wewe mwenyewe utakavyomruhusu akutreat. If you don't know your self worth, ni tabu sana
 
Nilimaanisha zari anahangaika na kina hammisa, wakati dai ndo anawafuata yeye mwenyewe, akitaka a-deal na Dai. Ila mwanaume atakutreat, wewe mwenyewe utakavyomruhusu akutreat. If you don't know your self worth, ni tabu sana
Na hawezi mchunga dai atulie mana alimkuta na maisha yake sasa zari kutaka umaarufu akajilengesha mimba chap chap wakati dai seems hayuko comfortable zari angetaftaga mzee tu amalizie life. Mwanamke mdogo ndo anaweza kuishi na mzee bila shida pole na mimba yake maana aisee unaweza pata maradhi
 
Ziwe cheap,ziwe uchafu.
Keshachapiwa mtu mzima achutame.
(Kama ni kweli lakini maana naona dalili za kutafuta kick)
Nahis kuna ukweli maana toka amekuja bongo sura yake haina furaha kabisa yan
 
I can imagine mtu upo na mimba afu unajipa presha kiasi hiki, eish
 
Hawa wanatafuta kick tu sioni cha maana hapo
Huto tu hereni ndio kutoana mapovu(wakati wasafi wote wanavaa hereni), ila huyu bibie anajua kuteka akili watu jamaniiii yani IG page za umbea zooote ishu hereni za hamisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…