Na usingizi ukistuka lazima jongoo awe amekaa kama pembe la rhinoMnatuamsh tuliolala bana [emoji39]
Kiki za kijinga kabisaHao jamaa wagoroko sana wanatoa nyimbo mbaya wakiona zinabuma wanaanza kutengeneza kiki za kipumbavu Kama hizo!
Waliyo copy&pasteSasa nyimbo ipi imebuma mkuu.. Au unaongea usichokijua
Kaolewa lini zari?!!Heheheheheheheiyaa!! "Diamond ni wa zari tuu, Mume wangu haendi popote " Teh Teh Teh ukitaka chako cha peke yako.....
Yule hana tofauti na mabeto.Kaolewa lini zari?!!
Anajidhalilisha sana zari!
Anatia aibu mama mtu mzima hovyoo!!!Yule hana tofauti na mabeto.
Wote ni wagegedwaji tuu, hawana ndoa na dai, sema tofauti yao ni kwamba zari kamzalia mond maana anaandaa mafao ya uzeeni Teh Teh, zari mjanja yule ... ameona hali ya hela ngumu kaamua kuzaa tuu ili aishi kwa hela za matumizi za watoto... ila naamini daimond lazma atakuja kuoa mwanamke mwingine tofauti na zari au asioe kabisa aendelee kugegeda ladha zote.
Sasa shogaako kuzaa tuu Ndio ashajimilikisha Mume teh teh...
Zari anazeekq vibaya
Kwa nyodo alizokuwa anajinyodoa nazo walah ata kama ningekuta kinga iliyotumika nisingeongea ningepiga kimya. Huyu mmama ana akili za kitoto hadi kero.Anatia aibu mama mtu mzima hovyoo!!!
Mi nimependa sana mobeto anavyomkomesha maana kamuonea sana Wema
Ngoja ajifanye yy ndo ana hakimiliki kisa anachoereshwa mitandaoni ndo anajua anapendwa!!
Mtu anekupenda atakuheshimu,kukuthamini bila hata hizo show off za kijinga!
Yule hajielewi ndo maana anahis Hamisa ndo kadhalilika kumbe yy ndo mbibi ndo kaumbukaKwa nyodo alizokuwa anajinyodoa nazo walah ata kama ningekuta kinga iliyotumika nisingeongea ningepiga kimya. Huyu mmama ana akili za kitoto hadi kero.
Yeye anajua kamkomesha mabeto ila hajajua kwamba anajidhalilisha maana kila mtu anamcheka.
Kama vile namuona huddah anavyocheka hadi anapaliwa.
Nijikute tu hahaKwahiyo usinililie tenaaaa
Tuache utani Hamisa Mobeto mzuri jama...Zile tetesi za muda mrefu kuhusu mwanamuziki Diamond Platnums pamoja model maarufu nchini, Hamisa mobeto aka Salome kuvunja amri ya sita huenda zikazaa matunda soon baada ya hivi karibuni mzazi mwenzie ,ambaye pia ni mpenzi wake wa sasa, Zari Hassan ambapo kupitia page yake ya snapchat amepost picha za hereni huku zikiwa zimeambata na ujumbe mzito, ambapo alimtaka mwenye hereni hizo cheap alizozisahau chumbani kwake akazichukue mara moja.
Hata hivo kwa mujibu wa wapenda umbea mjini aka team chambua kama karanga waliweza kuzichambua hereni hizo vizuri na kubaini kuwa zilishawahi kuvaliwa na mwanamitindo maarufu nchini Hamisa Mobetto(pichani) aka SALOME.
Huenda hii ikawa habari Kali kwa wiki hii, hata hivyo bado Zari hajafunguka chochote kuhusu mmliki wa hereni hizo, wala Hamisa bado hajazungumzia chochote kama ni kweli uchafu huo (kama alivyoita Zari) ni wake au sio
View attachment 404434
Mlitaka afanyaje??? Jaman nayeye anamoyo Wa nyama.....Zari hivi yule mama anajiheshimu au kujielewa hata maana ya stara!
Uzee ule watoto wanne na mimba juu bado anatafuta cheap popularity.....
Asante Mungu kunifanya nijitambue japo sio msafi na mkamilifu!!!
Zari anapaswa kutumia hekma sana!!Ila mondi ananikeraga hapa 2 hana adabu na heshima. Kama ni kwel kwanini usiende na chepuko lako ata hotel za $100 kwake sio big deal. Yan haya ni madharau mimi ningekua zari ivyo viatu visingenitosha. Kaona apunguzie hasira snap yaan khaaaa.
Na kuhusu zari kuolewa angelina na brad wemekua patners for 14 years wameoana miaka miwil ndoa chali. Apo kuna funzo. Kila kona wa2 wanajua zari ndiye anayetoka na diamond sio lzm mpk wawe na ndoa. If it's tru, mondi is still a boy not a man. Miaka 27 lkn bado toto. Mungu ampe moyo wa ujasiri n uvumulivu zari asipost mambo yao mitandaoni.
Unaanzisha vagi ndani kwako...Mlitaka afanyaje??? Jaman nayeye anamoyo Wa nyama.....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Yule hajielewi ndo maana anahis Hamisa ndo kadhalilika kumbe yy ndo mbibi ndo kaumbuka
Hakuna dharau mbaya km hiyo aliyoifanya diamond ya kulala na mwanamke mwingine chumbani kwako palepale
Ila zari ana nyota ya kuzaa tu!
Nyota ya kuolewa hana
Hamissa na mondi wanachemistry nzuri sana!