Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

Hahahaaa
Ukiona manyoya... Ujue ashaliwa

[emoji124]
But hii kitu inaweza pandwa na vidudu mtu vile vile...mi nna amini hii kitu ni mpango shetan ESMA NA MAMA YAKE hawashindwi kitu wa tandale wale....wao wana access na chumba cha dai..wamefanya kumkera zari i believe that..
 
Mkachangie na maafa ya kagera basi nyie wambea wa Instagram
 
Hapo hakuna ukweli wowote, hiyo picha atakuwa zari kapewa na mondi ili kuipa kiki nyimbo yao, kwani mobeto si ilikuwa lazima abadilishe nguo na mapambo kwenye ile video?! Huyu Zari nae anatumika tu kumpaisha mondi ipo siku akimaliza kunyonyesha mondi anamuacha tu, maana hajitambui ngoja sasa baba akae karibu na wanae ili wasije kosa penzi la baba kama baba alivyokosa penzi la baba ake.
 
But hii kitu inaweza pandwa na vidudu mtu vile vile...mi nna amini hii kitu ni mpango shetan ESMA NA MAMA YAKE hawashindwi kitu wa tandale wale....wao wana access na chumba cha dai..wamefanya kumkera zari i believe that..
Usiwasingizie hawa kubali dai amemchoka au uswahili mwingi ukiangalia alichoandika kwenye status yake ya cm. Okay let's take it kwamba wameweka dai kama anampenda kwadhati si angezificha hizo hereni au kumwambia naona Ezma wamenifanyia. Status " mwenye hereni unaitwa huko "profile inapicha ya Mobeto
 

Attachments

  • 1474524192894.jpg
    45.9 KB · Views: 363
Zaweza kuwa za mobeto pia ila zikachomekwa ndn...adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie.esma na mamake wanataka dai awat.....e wao...siwaamini wale
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
 
Maza house alivyona profile ya faza house kajibu kwakipigo
 
Reactions: ovi
unaakili sana....
Dunian kuna mambo..sio kila kitu lazma uamini..think on the other side too...nani hajui kuna beef btn kibibi mtu sandra ..esma na zari...we all know that....hawa wanawake km wamefanya haya kwa mwenzao tena ni mjamzito Mungu atawahukumu na kuwalaani...hawaon hali yke...wangeacha azae ndio wamchezee lkn not at tht condition..huyo esma kahaba km mama yk kila mtt na baba yake...wanataka na dai nae azae hovyo....
Zari ni mzee sawa diamond si age yke sawa na zari nae ukute ana makosa yke makubwa tu but dont ever stress a pregnant woman jaman...there are two lives there...either afe yy kwa stress au mtt...watafurahi...mxiiu ndio shida ya kuwa na watu low class
 
Kila mtu ana past zake mpk kuamua kutulia n watoto wanampenda mama yao despite of wrongnes anazo fanya. Na issue hii ya hamisa probably zari anaijua muda ila kitendo cha kukuta vile vi2 hasira zimempanda pa kuzishusha mtandaon ndo maana namuombea hiyo roho itoke. Mambo ya kufight for a man % kubwa ya wanawake 2meipitia.
Na tatzo ni nyota pia, haji adamu mbongo muvi kam2kana mke wake matusi makubwa makubwa insta lkn haijakiki km ya zari.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

mahusiano km mama na wifi hawakutaki utajuta kuzaliwa haswa familia zetu za kiswahili
 
Teh kwa hiyo anaonewa wivu kisa yupo na Dai, mbona kipindi yupo na Ivan alikuwa haonewi wivu?. Kipindi kile kweli she used to act like a real bosslady, ila tangu ahamie Tandale mweeee. Dai anajua kuambukiza wenzie utandale jamani khaaa, unajikuta tu mswaziii afu anajikuta ana hatimiliki na Dai mwee

Anayejitahidi kuwaachanisha ni nani kama sio Uhuni wa Dai ndo utawatengensha? Adui yake ni Dai na sio hao wanawake wengine, coz Dai ndo anawafuata wenyewe, hamuheshimu mwenzake kabisa, otherwise akitulize kwa Zari. Sasa zari ametukanwa au anajitukanisha mwenyewe? Ajikaze tu kisabuni wasolve mambo yao ndani kwa ndani, au akishindwa abwage tu manyanga, yeye wa kudeal naye ni Dai. Tangu aanze kuleta mambo yao hadharani kapata nini, si juzi tu alikumbwa na kupatwa kwa Huddah? She is mature so ajifunze kuhandle mambo yake kama mtu anayejitambua
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…