Zari Amvaa Mange Kimambi..

Tulikuwa tukinangwa Sana wadada wa kitz ...kisa zari ..(tulionekana sio wife material)
Leo na yeye amekuwa mswahili hatari mitusi Kama yote...
Ndio watu mjue binadamu yoyote yule akiwa na uhakika na maisha yake anakuwa mstaarabu ila Mambo yakigeuka anaweza kufanya Mambo ya hovyo....
Hata yule mke wa A.Y. anaonekana mpole bonge la mwanamke ni kwa sababu mumewe ametulia ila akianza michepuko na Mambo ya hovyo hovyo atacharuka Kama asha ngedere!
 
Waraka wote huu una like 2 tu??? Kuna tatizo mahali
 
Mnaomuamini mange mmepotea kabisa, yule ni social distractor, gvt puppet, serikali ingekuwa inamtaka mange leo hii angekuwa ana bow down to her knees kuomba msaada, ila mambo yake na ndugu zake yanaenda poaaa kabisa
 
Shogaaa...Naona leo ung'eng'e kama wooote..Umenipa shida ya kutafuta kamusi ujue..Hahahaaaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…