Zari amwambia Diamond "usinijaribu"

Mweeeh!...haaa haaaa
 
Lakini hivi tumeshawahi kujiuliza hawa wasanii kwa kuwa na skendo kama hizi wanatengeneza pesa kiasi gani?
 
Una umri gani?!
 
Zari ana watoto watatu sio wa Mondi sasa Mondi akiwa na kamoja tu no shida halafu wote Zari na Hamisa wanaliwa tuu hakuna Mke halali.
Na mitoto ni haramu!!
Dah! Hii dunia inaupendeleo
 
Hata sisi tunachepuka wake zetu wanatusitiri basi.

Ila kuchepuka na kuzaa kabisa huko huko uchepukoni

hiyo siyo dharau kwa mke .....huo ni...ujambazi

..........that is abomination
kwani ni mke yule?
 
Hata sisi tunachepuka wake zetu wanatusitiri basi.

Ila kuchepuka na kuzaa kabisa huko huko uchepukoni

hiyo siyo dharau kwa mke .....huo ni...ujambazi

..........that is abomination
Hio ndoa imefungwa lini
 
Kuna kitu kama nakiona kwa mbaaaaali, Zari anaweza kumkomba fedha Daimond, sijui lakini...

Wakicheza anawafilisi kweli inatakiwa diamond hii game atumie akili sana na kaligundua hilo ndo mana anataka kukomaa nae
 
Kwa bahati mbaya zari hana hizo akili kama zako za KiMobeto Mobeto na Kitandale Tandale... She's upstair enough thinks before acting ..
 
kwani ni mke yule?

Yule ni mke washapitisha miezi 6 na wana watoto wa 2 chibu limemfia mwanamke huwa ni mjinga kwa kumuona ila wakifuatilia sheria zao zinambeba sana.
 
Ushauri wa bure kwa Diamond; anza kuwa na account za siri ambazo utaficha sehemu kubwa ya pesa zako, sasa hivi wote Zari na Hamisa wana nyenzo kubwa za kukunyonya mpaka damu yako ya mwisho, take this very seriously, never ever underestimate women.
Wote sio wake zake , kasome Tanzania marriage act 2002
 
Zari atulie tu hv na hao watoto watano atamtaka nan labda?atulize kipago akubali yaaishe asijifanye mjuvi itakula kwake kuna wanawake wazuri name very respected ambao nasseb can get them tena wa umri wake sasa akae ajiulize na aache drama from today onwards tena akitaka kujua maisha magumu amuache dai
 
Acha maneno yako ya shombo wewe ,kama wewe mwanamke masikini huna mbele wala nyuma unatakwa na wanaume itakuwa zari mwanamke anaejielewa kichwani... Ana biashara zake tofauti na nyie mategemezi mpaka dawa za meno....


FYI zari anaweza kumpata mwanaume anaejielewa zaidi ya Diamond ...
 
Tuone kama atamuacha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] diamond sasaa!!!kwani daimond wa kwanza kucheat Zari atulize kipagooo!

Tuone kama akiachwa atapata kama daimondi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…