mangelengele
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 1,293
- 1,100
Kwani kuuza kitu hadi kiwe cha kwako?Kwa taarifa yako zile Karanga yeye ametumika kama brand tu kwa ujira was Mil.50 ..ni product za wahindi...ni sawa na Chibu Perfume kwamba ni product ya mke was Joseph Kusaga! muwe mnafanya research...idiot!
Ww c unaendekeza dhiki, unachojali pesa, yeye alisema Ivan alikuwa anampiga na kumdharau. Ukiona mwanamke anavumilia hayo ujue umasikini unamtesa. Cc wanaume tumepewa tamaa ya macho, wote tupo hvyo sema wengine tunajikaza kwasababu ya bajet, ubahili, uwezo au dini. cha muhimu ni kumheshimu na kumjali mkeo, ndo Daimond anachofanya.mimi mungu anipe mwanaume kama ivan ,na watoto watatu .eti nijitoe nikaanzishe maisha na mtu mwingine? big no .alikosea sana kuachana na ivan .hakuna ndoa isiyokuwa na shida angevumilia tu baada ya muda wangekuwa sawa .mzimu wa ivan hautomuacha
salama
Yametimiamimi mungu anipe mwanaume kama ivan ,na watoto watatu .eti nijitoe nikaanzishe maisha na mtu mwingine? big no .alikosea sana kuachana na ivan .hakuna ndoa isiyokuwa na shida angevumilia tu baada ya muda wangekuwa sawa .mzimu wa ivan hautomuacha salama
You said MtarbanNi suala LA muda tu. Sidhani kama kwa sasa anafurahishwa na yanayofanywa na muuza Karanga wake. Kumbuka kipindi kile maneno yaliyoandikwa na diamond pale alipoona picha za zari akiwa na mwanaume. sasa unganisha na hili LA Hamisa Mobetto. zari ana mkosi na wanaume hata huyu ataachana naye soon
Na wanga!Kuna watu wachawi
hapo sasa !?Yeye mwenyewe anajitambua?
nadhani itakuwa anampngo wa kuwa na taifa lakeYani Zari kazi yake ni kuzalishwa tuu...
Mpaka aikishe miaka 45 atakuwa na watoto 12
This is JF "In Manara's Voice"Hii ndio jf