Zari anunua ndinga mpya

Nitaamini ni yake nikiona anaitumia. Maana huyu naye ni wale wale. Diamond aliwahi kutuonesha Hummer na huyu Mwanamke akampongeza ila Hadi sasa sijawahi kuliona tena. Hata hiyo nyumba hiyo Mda utaongea.

Mitandao mkuu ina fursa sana ya udanganyifu. Ni kuyatazama tu na kuyaacha yalivyo mengi sana ni feki mno hadi aibu [emoji1492][emoji1492][emoji1492]


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…