Zari aongwa Range Rover sport 2017 na msanii wa Injili Kenya

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
Msanii wa muziki wa Injili kutoka Kenya, Ringtone Apoko ambaye kipindi cha nyuma alitangaza ni yake ya kumuoa Zari The Boss Lady, ameamua kumnunulia ndinga kali mama huyo wa watoto watano ikiwa kama zawadi ili amuoe.


Dear Zari,
I know you are coming to Kenya anytime from now. I take this opportunity to welcome you to my beloved country.

I checked and I realised that you were in church ⛪ on Sunday am happy because it’s only in Jesus that you won’t be hurt like Diamond did. Pleaaaase stay in church and in God. You recently posted on your IG that you wanted a Range Rover OK I took note and I want to let the world know today that I have bought you a brand new Range Rover sport 2017 model.

Am sorry I know you wanted white but I only managed a black one in color. Please arrange how to pick your key b4 you leave. While you in Kenya if you need anything let me know I will make sure it’s done for you.
 
Da Mange kasemaje?
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee ila wanaomchukia zari wana kazi jamani

Ooohooo zari hajulikani kenya wala uganda bla bla blaaa kibao
 
Hii ni tofauti na ile ya White aliyonunua mwenyewe last week..?
 
Kawaida yao hawa, ni usanii tu. Si mnakumbuka yule jamaaa aliyetaka kumuoa mtoto wa Obama. Baadaye alidai anataka MALI YA OBAMA. Sijui alifanikiwa. Halafu MLowasa naye akajitokeza na ng'ombe KIBAO
 
Uyo Ringtone Apoko ameamua na yeye atafute kiki sasa duh [emoji23][emoji23]
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee ila wanaomchukia zari wana kazi jamani

Ooohooo zari hajulikani kenya wala uganda bla bla blaaa kibao
Hahahaha wamejawa na roho mbaya watakufa kiolo mwaka huu
 
Haya maisha haya jamani,yani wengine wanahongo Range sisi kuhonga vocha ya buku tu utata!!!ama kweli wenye pesa watakula vinono daima!!!
 
Yule dada hata mimi ningekuwa na access na nafasi ya kuwa nae nisingemuacha aseee
 
Hivi naye huyu Malaya mwimbaji injili ni MTU wa Mungu au mtongozaji tu mpenda totoz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…