Zari Arusha Dongo gizani

Anajidhalilisha tu!kama unammiki mtu una haja ya kujibizana na mtu kwa mitandao.Nikama wewe ufike nyumbani uanze kusema " mnajua mimi ndio baba huku ndani" ujue kuna tatizo.Atulie alee watoto sasa ikiwemo Dai
 
Hivi mbona Wema hakuwa na huu ujinga jamani?
Huyu bibi ana inferiority complex,sio kwa kutokujiamini huku.

Bibi Zari,najua huwa unapita huku...deal with your man,achana na habari za nyakuz.
Wanawake tunaojiamini hatudeal na nyakuz bwana,alaaaah.
 
Bora umenena ukweli wengine wana commwnt kiwivu wivu tu
Watu wanaigiza tu kwenye mitandao humu ila kiuhalisia wanafanya the same Zari anafanya,wanafeel the same Zari anafeel

Asilimia 90% ya wanaume zetu wanachepuka mbayaa!!halafu michepuko hawana hata adabu na heshima kwa wewe mmiliki...Unakuta mtu anavimba eti anapendwa kuliko wewe mwenye mume na hashuo juu anakuletea[emoji38]!!akihongwa vilaki tatu nne huko gesti basi anajiona anapeeendwa!

Lazima uwakumbushe mara moja moja!!na huwa inawauma sana wakiona family iko pamoja!!
 
Hivi mbona Wema hakuwa na huu ujinga jamani?
Huyu bibi ana inferiority complex,sio kwa kutokujiamini huku.

Bibi Zari,najua huwa unapita huku...deal with your man,achana na habari za nyakuz.
Wanawake tunaojiamini hatudeal na nyakuz bwana,alaaaah.
Tema mate chini Niffah[emoji38][emoji38]!!hayajakukuta bado kuna wakati itafikia baba watoto wako unajua kabisa anachepuka lakini huwezi kumwachia!!

Umesahau Wema alivyomwindaga Meninah Atick kipindi kile kisa Domo?!
Akaja akaanzisha timbwili zito studio kwa manecky kisa alimkuta Victoria Kimani na Diamond wako pamoja,mwisho wa siku wakaishia kupigana na Chibu!!
Tena Wema hana subira ya kuvumilia ujinga,yaani akijua umemchukua bwana wake au unajipeleka peleka hakuachii,atapambana mpaka mwisho!!

Mwanaume anauma Niffah acha tu[emoji38][emoji38]
 
Watu wanatege maskio kama mapanga boi wakisikia zari kamwagwa ni shidaaa

Wema hakuzaa ndo maana alipigwa chini na raha ya kuwa na pesa uwe na watoto pia
 
Hivi mbona Wema hakuwa na huu ujinga jamani?
Huyu bibi ana inferiority complex,sio kwa kutokujiamini huku.

Bibi Zari,najua huwa unapita huku...deal with your man,achana na habari za nyakuz.
Wanawake tunaojiamini hatudeal na nyakuz bwana,alaaaah.
Binamu mimi warumi nshachoka mie kujificha
 
Safi sana, wenye waume zao, lazima mchanwe mnaomendea waume za watu kutwa kujipitishaaaa..... Family time[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…