Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni majuzi alijitambulisha ni MEAhsante kwa taarifa mama la ubuyu
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan kabisaaaahBwana ake zari ana kazi [emoji23][emoji23]
Mi napataga wanaume wana wivu balaa hawawezi kubali hii kitu[emoji23][emoji23][emoji23] yaan kabisaaaah
Wamefungua kibanda cha pweza hapo forodhaniShoga kidawa nasikia yuko Zanzibar na sadala(domo), Sijui ndo wameenda kuoana au ku shoot video , wanataka tu kutupa presha hapa wambea mxieew
Itakuwa u mtamu ndani na nje plus plus.. ndio maana wana wivu pro max 👳Mi napataga wanaume wana wivu balaa hawawezi kubali hii kitu
Sasa mwanaume gan akubali mtu na Ex wake wakajivinjari huko zenjibaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda kalishwa limbwata. LolMi napataga wanaume wana wivu balaa hawawezi kubali hii kitu