Zari, Diamond ndani ya Zanzibar

Bwana ake Zari ana kazi [emoji23][emoji23]
 
Heeeh kumekucha sasa lol, ila Zari nae akaage chini na mumewe, muda wote kuvegela tyuuh lol.
 
Mambo yao waachie wenyewe, wasikuumize kichwa...
 
Mi napataga wanaume wana wivu balaa hawawezi kubali hii kitu
Sasa mwanaume gan akubali mtu na Ex wake wakajivinjari huko zenjibaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda kalishwa limbwata. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…