Zari: Hakuna kilichonivutia kwa Diamond nilipomuona mara ya kwanza

Mi macho yangu yote kwenye crotch ya diamond! Suruali imebana mali si mchezo!
 
Naimani kua alimpenda toka mwanzo na nianawake wachache sana ambao husema nilipenda kwa sababu ya kitu flan
Alafu mwanamke ambae anajua amefata, pesa haezi kuzaa hovyo no sawa na mkeo umoa alafu ataki kukuzalia jua huyo hakupendi

Mwanamke ni Yule ambae anafanya mile utakacho ww mwanaume
Zari hajafunguka mama walivyoanawake wengine hua hawasemi
 
Hiyo ndio bahati nzuri kakukatana nae akiwa kishaanza kujiita msafi..

Hivi angekutana nae wakati ule wa Mbagala si angepiga kelele kakutana na Sokwe Mjini?!
 
Ukiwa na uelewa mdogo katika kuchambua maneno, daima utajiona uko sawa hata kwa kile ambacho hakina usawa. Magazeti yatalichukua hilo na kuliandika bila kutambua kwamba hawa wanataka kuwa kwenye vichwa vya habari kwenye magazeti ya udaku na mitandao ya kijamii. Kulichukua hili na kulileta hapa pasipokuufikirisha
Ubongo litakufanya uwe wrong kwa kila kila kitu.

Jifunze kuitafuna maana nyingine katika maneno husika
 
Ndio maana diamond namkubali saana

Zari hapo kaongea ongea shit,lakin diamond ametulia tu ,Zari ameongea baadhi ya vitu vya kukera ila jamaa kaonesha moyo wa kiume ame chillax tu



Ndo maana Kapo ya Diamond na Wema inabaki kuwa kapo yenye mvuto sana hapo angekuwa Wema angemsifia au angejimwaga mpaka basi lakini Zari anajibu as if diamond ndiye anamng'ang'ania ila yeye wala hana mpango huo
 
Sijaisikia hiyo interview lakini maneno kama hayo ndiyo yatampa ugonjwa wa moyo bi Sandra.
Kaongea vibaya sana

Ndio maana kumbe ndugu wa diamond wengi hawampendi ila diamond tu anamkingia kifua

Maneno hayo ndugu ndio wanaumia zaidi hasa mama mzazi kuliko hata mhusika mwenyewe kwa maana ukipenda unakuwa kipofu na kiziwi
 
Too bad

Inaonekana yupo na diamond kwa ajili ya kukuza biashara zake na jina lake kwa lugha nyepesi yani anaatumia mgongo wa diamond kujinufaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…