ZARI: Hakuna kitu ninachokipenda katika maisha yangu kama kuzaa

Huyo nae anatumia watoto kama mtaji , chezea child support , eti anapenda kuzaa why hakuzaa na yule mwanamme wake choka mbaya mwenye sixpark?baada ya kutengana na mme wake , kabla hajampata diamond why hakuzaa na hao wanaume?
Mapenzi. Inaonekana huyu mwanamama anampenda sana diamond ndio maana haoni na wala hasikii kwa huyu kijana
 
Labor wards ambassador,kuzaa sana nacho kipaji.
Mimi nimezidisha sana watatu tu.
Hongera zake.
Angalau wa4 bana iwe pair 2=girls and 2 boys, hapo vipi!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mfalme kumpenda punda wake sawa tu, anambebea mizigo na muda mwingine kipando chake, ana faida kubwa sana kwake
 
Serikali iingie kati kwa kutuongezeaaa watu wenye raia wa nchi mbili
 
Huyo nae anatumia watoto kama mtaji , chezea child support , eti anapenda kuzaa why hakuzaa na yule mwanamme wake choka mbaya mwenye sixpark?baada ya kutengana na mme wake , kabla hajampata diamond why hakuzaa na hao wanaume?
Dada uko vizuri,hongera sana.Vipi unaweza kutuambia hadi umri wake ule keshatembea na midume mingapi .........???
 
Iko ni kitu cha kawaida..

Kwa hiyo hii sio habari ya kusisimua.
 
Lengo kuu la ngono/kujamiiana ni kuzaliana ila wengi wanatumia ngono/kujamiiana kama kitega uchumi, na wanapopata mimba wanakimbilia kutoa. Wanaua viumbe visivyoweza kujitetea.
 
Watoa

Watoa mimba ni lazima washangae maana wao kwao ngono ni biashara.
Alaaaa kumbe hata wao hizo mimba wanazopata Kama sio kutoa wangekuwa na watoto wengi na wasingeona ajabu zari kuwa na watoto wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…