ZARI: Hakuna kitu ninachokipenda katika maisha yangu kama kuzaa

wengine kwao wamezaliwa 9 kama sio 11 lakini hapa kujifanya wanamponda Zari hebu kwendenu zenu kule

as long as she can take care I them muacheni azae
Hapo ndio utakaposhangaa.Kuna Watu humu visimbilisi!kwa zari labda ashangae mzungu ila sio sisi ngozi nyeusii.utakuta hapo kwao wap kibao,au kwa ndugu zao lakini hawasemi ila kwa zari wanaongea shit
 
Reactions: BAK
Sio tu kupenda kuzaa angemalizia kabisa kuzaa na wanaume wenye pesa, mbona ya yule mcheza basketball aliitoa
 
Watu wanashangaza sana! K yake kugegedwa anagegedwa yeye, tafrani za ujauzito anazijua na hajaomba 'ntu' amsaidie, uchungu wa kujifungua anaujua, gharama za kulea anazijua na hajaomba msaada kwa yeyote yule lakini bado kuna watu watalalamika tu!

Kabisa umeandika hivi, kwani anaipunguzui nini serikali?
 
Zaa mama kizazi kakupa Mungu ,kuna wengine mayai wamelia chips ati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…