Sauti mbaya,pesa tuu ndio imembeba japo napo hajawika hata nukta! Nampenda sana old zari ila huyu new zari nehi nehii papii.
U strong woman woote na hashuo zimedoda,wa zaman alikua anawavutia wengi kua wasaka noti thou sijui at tht early age ya 20's pesa mingii vile alitoa wap?

ahahahahaaa!mauno style moja tu hiyohiyo habadilishi ahahahaha!!Zari wangu kucheza haweziii
Haa haa kiuno kigumu kama kinu, ila ndo kaishatoboa hivoo
Roho inakuuma.
Ila pole, ndo vile tena.
Weka na yako tulinganishe......
Btw wa zamani na sasa kuna tofauti gani??