Zari kusimamia shule na vyuo vyote vya Ivan vilivyopo South Africa

Bora aisee wampe tu watoto wengi mno hadi kina Nillan
 
Safi sana pinto,yeah ndo inavyotakiwa mali ni za watoto always.
 
sasa ndio ndio huyu mwanamama atakaletaa kale kabwana kake kamwanamuziki kachawi kale pengine kamechangia hii mambo ili kajitawale
 
Mihemko bwana bila diamond wengi wetu tusingemjua zari
Zari hongera Mungu akusimamie watoto watatu ni wengi sana ngozi nyeusi bwana eti wa wa wekee mali wakikua wawape thubutuu
 
Hivi kirusi gani amevamia JF?? Naona watu wanaanzisha topiki za.................
 
Naona wapumbavu wakishangilia mauti.
 
Kitendo cha zari kuolewa tena ni laana hizo mali zote zitamfata mwenye nazo ndani ya miaka miwili.

Pumzika kwa anani ivan
 


Na wewe utasimamia nini? Umbea hapa JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…