We kama nani??? af nan aliyekwambia zari ameolewa ... roho mbaya kama hii kwa mwanamke kama wewe haifaiKitendo cha zari kuolewa tena ni laana hizo mali zote zitamfata mwenye nazo ndani ya miaka miwili.
Pumzika kwa anani ivan
Hawa ndo wanaotamani kusikia zari hapati kitu, pole zao ana watoto wa Ivan anakosaje labdambona povu mkuu?
Teh msaidie kivyovyote vileKwahiyo sisi tukusaidieje mtoa mada
Dua la kuku.....Kitendo cha zari kuolewa tena ni laana hizo mali zote zitamfata mwenye nazo ndani ya miaka miwili.
Pumzika kwa anani ivan
Mbona kwa mume wa kwanza alitoka na akaolewa na jamaa wakapiga hela badoKitendo cha zari kuolewa tena ni laana hizo mali zote zitamfata mwenye nazo ndani ya miaka miwili.
Pumzika kwa anani ivan
Hivi mnamuona zari ni akina mama zena eee wa magomeni, ambao huendeshwa tuKatika watu wanaofurahia kimoyomoyo na hii mambo basi ni Dayamondi Platinamu, mosi Baba wa watoto kafa hivyo hakuna mtu wa kuja kupasha kiporo maana kuna msemo usio rasmi kua oa singo mama ikiwa tu una uhakika baba wa mtoto amekufa, hilo kwake limefanikiwa.
Bahati yake ya pili ni kua baba wa watoto kafa alafu kaacha mpunga wa maana na yeye ndie atakua na nguvu ya kuumanaage, bahati iliyoje.
Nyota ya Dayamondi Platinamu sio ya kawaida.