Zari kutua Tanzania Jumamosi hii ....

Zari kutua Tanzania Jumamosi hii ....

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Habari njema kwa Team zari ni hii , Mama Tee, aka zari the bosslady , mrs King D atatua nchini Tanzania jumamos hii(Tarehe 4) kama balozi wa diapers za softcare kutangaza bidhaa hizo ambapo pia ataelekea mliman City kwenye duka la babyshopping kwa ajili kuhamisha watu kununua bidhaa hizo .


Nicheke kimanyema mie , kama nawaona mastaa wa bongo wana yojiarishia, maana najua siku hiyo hapatosha mujini , dar nzima itahamia mliman city na mbagala siku hiyo . Dah zari anazidi ku shine tu ***** . Zari atabaki kuwa juu

Hivi Team mange niwaulize, boss wenu alishawahi kuwa balozi wa nini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naanza kuamini kwamba warumi Ni mwana-papuchi [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
 
Back
Top Bottom