Zari: Mobetto ni low life; ampa Diamond za uso

Heck Zari, don’t get mad. Get even.
Because Diamond brain will not get out of Tandale! She is really Low and she is trying to get fame through sleeping on your bed without Condom with mond.
 
Hakunaga m/me anaeweza kukucheat na ambae mko level moja ndo maana kina baba chacha wanacheat na housegirl, wadogo wa wake zao, etc bcoz that is their habit zari.. The most important thing is to stay focused in making money only and let them play with their [emoji533]
 
Yaani huyu Low life kuzaa na mondi anajiona Celebrity wa East Africa!
 
Yaani huyu Low life kuzaa na mondi anajiona Celebrity wa East Africa!
Ndo hapo anajiona she is not some 1 who can be compared with anyone else... Atulie tu baba chanja wake kucheat ni iko ndan ya damu
 
Sure ... .unajua kuna baadhi ya wanaume huwa wana take advantage sana ya umaarufu/kipato chake ,kuumiza MTU alonaye kwa makusudi kabisa.

Sasa MTU kama Zari .... nimwanamke ambaye Anajitambua sana na Halopoki lopoki ovyo + anajipa Upekee na utofauti ..nahii imefanya awe Mwanamke anayejiamin sanaa....

Kwan ,,tukisema ukweli,,,, Machine anayo Diamond tuuu ???. ..the girl being independent imefanya awe na machaguzi.

Ukiwa hujiamin .........utageuzwa shombo .
 

Wemen make gross mistakes when trying to define a Man’s sexual psychology! To a man a pussy is just a pussy irrespective of whether it belongs to a low or high profile woman!

This is the reason a very rich and top profiled man can mary a very poor and low profiled woman!

Zari must learn to get used to this fact!
 
Kwanza akumbuke hawezi kimchunga mondi kwanza mondi ndo ujana wapamba moto sasa Zari ujana keshaula stage hiyo kashapita na mondi nae ndo stage yake kwa sasa Zari atafte sehemu aheme tu mwanaume kibubu kikijaa haangalii cha low life wala nini
 
Huyohuyo low life kakumegea 'mmeo' nyama kwa nyama kitandani kwako na bado hujamwacha, ndo ujione jinsi ulivyo mjinga, I think wewe ni 'low brain'
Sekerepa maweeeeee
 
Huyohuyo low life kakumegea 'mmeo' nyama kwa nyama kitandani kwako na bado hujamwacha, ndo ujione jinsi ulivyo mjinga, I think wewe ni 'low brain'
Aliposema diamond kwamba yuko radhi kutembea na magoti hadi south africa kwa ajili ya zari unafikir alikua anamanisha nini
Hamisa ni low life na mswahili, na zaid upstairs hamna kitu, ndio mana hata ubalozi anapata wa kampuni kubwa sababu upstairs pako vizuri,
huyo kajileta kwa nasibu akaona isiwe tabu ngoja nikupe mimba , kumbe dah ndo "nitoke vipii ya bwana misosi, mdada kaona hapa hapa ndo pakutokea anataka matunzo ya mtoto milioni kwa wiki, kama kweli jike la mbegu kwanini asimtunze mtoto peke yake
yani zero brain mwnaamke ukishakua zero brain kwisha habari yako, na mimi nazid kumsikitikia zari sababu ana muda wa kumjibu low life hajui kwamba ndio anazidi kumsaidia kupromoti boutique yake na jina lake
 
Because a pussy will always be a pussy and if u screw it too much you get used to it and a new pussy is always sweet.
Hahahaa umenikumbusha mange alitoaga mada ya used k.....and new k...binadamu wanavituko...imenikumbusha pia movie moja ya ajab inaitwaga from dusk till down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…