Akili za kupiga hela tu acha wamchukie mwana.Can’t wait for this , hii show itakua ni [emoji91][emoji91], wabongo mkae mkao wa kula mjifunze maana ya reality show sasa, ngojen wakina Zari wawatoe ushamba kidogoView attachment 1826601
View attachment 1826602
Sign petisheni for human rights🐒🤣🤸♂️There’s nothing real about these so called ‘reality’ shows. They’re all scripted.
Hardly anyone can be real when there’s a whole bunch of cameras following you around.
Nevertheless, I can’t knock their hustle.
Let them get that bag 💰.
Lakini wao waliowapost wako 8 tuu.Sio reality show ni documentary ambayo itakuwa na wasanii wengine pia kutoka Africa kama jeremiah ogbobo, annie macaulay, khanyi mbau metanoia, andile ncube na wengine wengi
Sio reality show ni documentary ambayo itakuwa na wasanii wengine pia kutoka Africa kama jeremiah ogbobo, annie macaulay, khanyi mbau metanoia, andile ncube na wengine wengi
Kwani mi nimetaja zaidi ya hao nane unaosema 😂😂Lakini wao waliowapost wako 8 tuu.
Wazee Petition vip ahahahahaahHuyo ni mkandamizaji wa haki za binaadamu hastahili hiyo promo unayompa
Sio ile, hii ni nyingineUnazungumzia the real housewives of Johannesburg au?, niliona ka clip Zari alipost kuhus RHWJ kitambo kidogo
WCB lialia tupo hadi mwisho hailali haiboiThis is what I have been expecting from Zari , Sasa mastaa wabongo mtulie mjifunze maana ya reality show kwa Zari sio reality show zenu hizo fake za Instagram, can’t wait for this [emoji91]
Can’t wait for this , hii show itakua ni, wabongo mkae mkao wa kula mjifunze maana ya reality show sasa, ngojeni wakina Zari wawatoe ushamba kidogo.
Ila Zari mzuri sanaThis is what I have been expecting from Zari , Sasa mastaa wabongo mtulie mjifunze maana ya reality show kwa Zari sio reality show zenu hizo fake za Instagram, can’t wait for this [emoji91]
Can’t wait for this , hii show itakua ni, wabongo mkae mkao wa kula mjifunze maana ya reality show sasa, ngojeni wakina Zari wawatoe ushamba kidogo.