Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
4,131
Reaction score
6,111
Hatimaye staa wa bongo Nassibu Abdul (Diamond) awa baba baada ya mchumba wake Zari kujifungua mtoto wa kike asubuhi hii.

====

Zarina.jpg

View attachment 273928View attachment 273929
View attachment 273931

====

Ama kweli dunia ina mambo! Wakati wengine wapo Instagram kwa zaidi ya mwaka mmoja lakini hawajatimiza kupata angalau followers 1000, Mtoto wa Diamond Platnumz & Zarina Hassani, tayari ana Followers zaidi ya 20,000 chini ya saa 24! Mbaya zaidi, idadi ya followers inamiminika kama njugu kiasi kwamba, hadi kesho mida kama hii, kuna uwezekano akawa ametimiza Followers 100,000.

View attachment 273922 View attachment 273923
 
Hongera Mondi...
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Na picha 4 za mtoto nimerushiwa na mfanya kazi wa hapo agakhan mwenye buku ten
 
Hii habari ya kweli? Nilisikia atajifungulia SA...
 
Back
Top Bottom