Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

Leo nimejua jinsia yako na kwa jinsia yako hiyo naweza kusema huko sahihi, hivi kwanini WEMA umeamua kutumia ID nyingi mno kwenye mitandao ya kijamii ??????????
 
Maswali ya kijini jini kama haya siwezi kuyajibu.
Vipi unajihisi una undugu na latifah?? Au mashauzi tuu??
Ni ndugu yangu ndio, vp wewe ni adui yako ????????? WEMA ​ kwanini nyota yako haiwezi kukusaidia wewe mwenyewe wala huyo mirror sijui kioo ila ilikuwa inamsaidia CHIBU tu.
 

mkuu vp kwema? mbona unaweweseka sana na una confidence ya hatari kupinga kuwa mond hawezi tia mimba kwani we umemtegeshea mara ngapi zikambuma? hichi kilio chako unacholia rijali kabisa hawezi fanya hivyo. Pole lakini haikua mipango ya Mungu kwa wewe kushika mimba yake
 
Sasa na yeye ataona uchungu wa yale aliyowafanyia watoto wa watu

Hatumwombei mabaya ila alichokuwa anawafanyia watoto wa watu malipo ni hapa duniani. Ni vizuri nae amepata wa kike.
 
Ni ndugu yangu ndio, vp wewe ni adui yako ????????? WEMA ​ kwanini nyota yako haiwezi kukusaidia wewe mwenyewe wala huyo mirror sijui kioo ila ilikuwa inamsaidia CHIBU tu.

Huna udugu wowote zaidi ya kushoboka tu.
Nishakwambia maswali ya kijini jini kama hayo ya nyota siwezi kukujibu.
Unadhani kila mtu ni team Wema.
Uwe unafatilia vizuri.Ukisha amua kumfatilia mtu na posts zake kama ushuzi unavofata kota, ufatilie kimakini kabisa.Utagundua kama mimi ni Wema sepetu au sio.
 
Mimi kweli ninashobo zaidi ya hata ndugu zake, sababu za kukuambia hivo ninashangaa pamoja na nyota yako kuwa kali bado UMEKATWA UBUNGE na huyu msanii wako sijui mirror nyota yako imeshindwa kabisa kumng'arisha.
 
Mimi kweli ninashobo zaidi ya hata ndugu zake, sababu za kukuambia hivo ninashangaa pamoja na nyota yako kuwa kali bado UMEKATWA UBUNGE na huyu msanii wako sijui mirror nyota yako imeshindwa kabisa kumng'arisha.

Watu dizaini yako mnaweza hata kumramba d 'unyayo' wake.
Nipishe miee ushanichosha na maswali yako ya kishirikina.
Upo obssesed sana na Wema Sepetu.
Huoni haya, kwenye mambo ya D unamwingizia Wema.???
 
Watu dizaini yako mnaweza hata kumramba d 'unyayo' wake.
Nipishe miee ushanichosha na maswali yako ya kishirikina.
Upo obssesed sana na Wema Sepetu.
Huoni haya, kwenye mambo ya D unamwingizia Wema.???
Kama umesema naweza kumlamba D unyayo wake, ninashindwaje kumpa live mala...... aliyemchokoza D. Ni lazima ajue/mujue kuwa mungu huyo huyo munayemuomba ili mwenzenu apate mabaya ndio mungu huyo huyo nasi tunamuomba ili amuepushie mabaya yenu na apate mazuri.
 

Mala... ni wewe, na bichwa lako.
Nani kamwombea huyo domo wako apate mabaya.
Kafatilie convo uloivamia kule juu.
Basi umeona hilo nalo tusii???
Shobo tu.
 

Sisi tunamuomba Mungu, wewe na washirikina wenzako mnamuomba mungu, je huoni tofauti iliyopo kati ya Mungu na mungu?
 
Mala... ni wewe, na bichwa lako.
Nani kamwombea huyo domo wako apate mabaya.
Kafatilie convo uloivamia kule juu.
Basi umeona hilo nalo tusii???
Shobo tu.
We si bure utakuwa ni mchawi umejuaje kama mimi nina bichwa kubwa ??????? Kwa sasa ukitaja " domo" ni kama umezitaja a.k.a zake zingine na ndo unazidi kumpromoti,na hao unaowafagilia wewe sijui ndo wenye midomo mizuri hawamuingii huyo "domo" kwa lolote si kwa tuzo,si pesa, si kwa matamasha,si kwa kuuza t shirt, si kwa kupiga dili za matangazo, si kwa umaarufu na hata kwa kupendwa zaidi na watu wengi barani Africa kuliko wasanii wote TZ na Africa mashariki kwa ujumla
 
Sisi tunamuomba Mungu, wewe na washirikina wenzako mnamuomba mungu, je huoni tofauti iliyopo kati ya Mungu na mungu?
Asante kwa kukubali kuwa huwa munamuombea mabaya aliyeumbwa na munayemuomba. Hilo la ushirikina ni kwa vile tunashiriki mimi na wewe ndo mana umenijua.
 

Wewe ndio umejua leo kuwa mimi MCHAWI? Umechelewa sana kujua.
Kumbe domo ni a.k.a ya dai? Sasa unashoboka nini, kumbe sio mimi nilioanza kulitumia sio?
Haya tukutane usiku tukawange mchawi mwenzangu.
 

Hahaahaaaa jamaniii... .
 

Mhhhhhh haiyaaaaaaa.
 

Mkuu cjajua unachotaka kukisema ila kama unaitumia iyo nyimbo kama ni reference kuwa dai hazai/hana uwezo wa kuzaa utakuwa umefeli sana aise....
Hakuna sehemu dai kasema kwenye huo wimbo kuwa hana uwezo wa kuzaa au wakati anasema hana hata mtoto wa kucngiziwa hakuna sababu ya kuwa yeye hazai miongoni mwa sababu alizozitaja kweny huo wimbo
"wengi wao walinambia ngoja ngoja eti vumilia,na wengine walikataa kabisa tuzae,wakinambia eti muda wao haujawadia nitawaaribia ujana...wengine pia baada ya pesa zangu wakakimbia niliumia sana"
 
nimekwambia soma gazeti we vp mburula wengine bwana wanakurupukaga wapi sijui kwani mi ndio nimeandika hiyo habari nyambaafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…