Hongera,lakini ajitahidi aoe so vizuri kuzaa nje ya ndoa
Mtoto ni malaika, mtoto ni kiumbe ambae moyo wake mweupe kama barafu, mtoto hana chuki wala hana adui,
Lakini hii tabia ya kuzaa zaa bila ndoa hivi dini gani inaruhusu? Kuzaa watoto wa uzinzi haijakaa vizuri hata kidogo,
Mtoto ni malaika, mtoto ni kiumbe ambae moyo wake mweupe kama barafu, mtoto hana chuki wala hana adui,
Lakini hii tabia ya kuzaa zaa bila ndoa hivi dini gani inaruhusu? Kuzaa watoto wa uzinzi haijakaa vizuri hata kidogo,
acha ujinga mkuu, kuna watu wamefunga ndoa miaka nenda rusi hawana watoto na hawana maelewano ndani
Mtoto ni Malaika?
wangapi wapo ndoani na wanatafuta watoto usiku na mchana? ndoa ni maelewano tu zaidi ya hapo hamna kitu, kama mnaelewana hayo mengine yapo tu ebooo
Hii habari ya kweli? Nilisikia atajifungulia SA...
Wewe itakuwa ni mmoja wa wazinzi ndio maana unatetea, kwani wangapi wamezalishwa nje ya ndoa na wanateseka pia?
i cant judge any one kwa kweli, Mungu ndie anaehukumu, hiyo akili ya kumuita mtu mzinzi kisa amezaa nje ya ndoa, si sahihi, hebu badilika,kila mtu ana maisha yake na ana maamuzi ya maisha yake, by the way,sijawahi kuzaa nje ya ndoa yangu na pia siwezi kumuhukumu yule aliezaa nje/kabla ya kuolewa,kwa sababu maisha yake yapo mikononi mwake
Bado hii haihalalishi kuzaa nje ya ndoa....kwa maadili hata ya wapagani.acha ujinga mkuu, kuna watu wamefunga ndoa miaka nenda rusi hawana watoto na hawana maelewano ndani
Hatimaye staa wa bongo Nassibu Abdul (Diamond) awa baba baada ya mchumba wake Zari kujifungua mtoto wa kike asubuhi hii katika hospital ya AgaKhan.
Kila atakayekuwa anajifungua mnatoa taarifa au kisa tu ni Zari na Diamond? Toa taarifa hata jirani yako akizalisha au kujifungua, braza.