Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

Nimeuliza kuna dini inaruhusu hii kitu? Aliezaa nje ya ndoa mimi namuita Mzinzi kwa lugha ya kiswahili, Mzinzi ni tusi? Mzinzi ni jina Mzinzi ni kitendo? Hebu nipe jina wewe mtu aliezaa nje tumuiteje kwa matakwa yako?

dini inakataza kutenda tendo la ndoa kabla ya ndoa, sasa angalizo isijekuwa unawashikia bango waliozaa nje ya ndoa kisa wanakithibiti cha uzinzi kumbe mwenzetu hujazaa nje ya ndoa na wala huna ndoa lakini umefanyafanya tendo la ndoa mpaka style zote umemaliza, alafu hapa unapaza sauti kuwalaani waliozaa nje ya ndoa pasi kujua wewe na yeye hakuna mwenye afadhali mbele za Mungu.
 
Naona sasa team Tiffah wamekuja kufunga kazi..mana kila pande za insta,kichanga kinamake headlines....
 
baba mzazi ni........ waweza kutujuza inaonekana unamjua
Baba was tiffah in ambae aliweka mbegu zake,so tutegemea kupwa na kujaa kwa mabilionea Bongo waliowekeza kwa Zari,kama movie ndo limeanza na hii ni kama episode nambari moko..?!
 
Wewe nae sijui wa wapi? Tiffah ni kifupi cha Latifah.Kama hujui kitu ni bora ukae kimya tu.
Kama nawaona table teaching..ivi huku tiffah akichukua kichwa cha habar*topic*,Itafahamika tuuu?!
 
Baba was tiffah in ambae aliweka mbegu zake,so tutegemea kupwa na kujaa kwa mabilionea Bongo waliowekeza kwa Zari,kama movie ndo limeanza na hii ni kama episode nambari moko..?!

oukey twende taratibu kuna wewe na warumi nimemuona nae anasema diamond sio baba wa latifah, sasa embu niwaulize nyie hao mnaowaitaga baba nani aliyewaambia ndio waliotoa mbegu iliyotunga mimba zenu hata mkazaliwa??? zaidi sana mliaminishwa tuu toka mkiwa wadogo kuwa huyu ndio baba yako, and kwa vile umekuwa ukimuona anakulea anakununulia mahitaji anakulipia ada ya shule ukikutana na wenzako unamtambulisha kuwa huyo ndio baba yako. do u have any scientific prof kuwa sperm ya huyo umuitaye baba ndio iliyokutana na ovary ya mama yako ukatoka wewe??? definitely hamna so please stop frustrating others simply kwa vile mmepewa midomo ya kunena na kusahau kuwa we are living in the same situation
 
Watanzania kwa majungu, dah, jitambueni basi acheni kujizalilisha kiasi hicho ina maana kipindi wanapeana mimba mlikuwepo?, dah.
 
Tenaa yashakuwa hayoo..ama kweli tiffah akianza kujielewa TZ hapatatosha,by the way,I wish you good in ur Betta and for worse friendship......

Nimemkumbuka rafiki yangu kipenzi anaitwa Latifah...
Sina ushamba huo wa kujipendekeza kwa asiyenijua.
 
ameeni..?!
 
MTANYOOKA TU BORA MPIGE MAGOTI MUMUOMBE MUNGU MZAE WENU AU AWALINDI WENU

SHUTI KUFANYA MA PHOTOSHOP YA WATOTO WA WATU ETI NI WA D na Z NA KUMFANYA AFANANE NA EX WA ZARI

NA BADO MTANYOOKA TU KAMA MANENO MLIYASEMA SANA HAOOOOO MAWIVU HAWAKUACHANA LEO NDIO NINI

NA MUMUOMBE MUNGU AWASAMEE MAANA YENU YA KESHO HAMUYAJUI

KUNA WATU DUNIANI WANA BARAKA ZAO MALKIA WAO WANAJIBU BILA WEYE KUJUA NINI AU KUTOKA WAPI LINAKUPATA AU UKOO NA UZAO WAKO PIA

MWOGOPENI MUNGU NA HASWA KUTUKANA BABY WA WATU MITANDAONI YA WA KWENU WALIO HAI AU AMBAO HAMJAWAPATA HAMJUI KIAMA.

FURAHA LEO TELEEEEE

MTANYOOOKA OOH CHIBU KUNYA ANYE KUKU ASINYE BATA...
 
Hongereni Diomond and Zari kupata mtoto Latiffah.Mungu wa upendo akamkuze ktk hekima zake.
 
Amerudisha Change....Alhamdulilah.
Ila Hongera kwa Dimondi aka baba mkwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…